Sasa hivi wanapigwa Propaganda ukichanjwa hutokufa kwa Corona ila kuipata na kulazwa kama kawaida
Sisi kwa uwezo wake Allah tunaendelea na kinga Mujarrab ya vitunguu swaumu, pilipili, vitunguu maji na Tangawizi ambazo zimethibitisha ubora wake ndani ya bara zima la Africa kwny vita hii ya Corona
Bara zima wamechanja omly 1% na mbinu na jitihada zote bado ndio bara lililo na madhara machache zaid ya Covid

Sema wewe utachanjwa, ila wasiotaka kufanyiwa majaribio kama panya hawatachanjwa!