Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Babake mwanaidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
641
Reaction score
694
Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.

Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.

Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
 
Kinachohitajika zaidi ili kuangusha ccm siyo muungano wa vyama, ni uchaguzi huru tu. Kura zikipigwa na kuhesabiwa kwa haki ccm inafurushwa asubuhi na mapema
 
Back
Top Bottom