Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Tetesi: Muungano wa Vyama 2020 CCM inaanguka

Kwanini hakuna jipya? Ina maana CCM wanaiba matokeo kwanguvu kwa kutumia tume ya uchaguzi? Tusidhani hivyo
Swali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.
 
Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.

Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.

Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Ccm haihitaji kura zenyu ili itangazwe kuwa mshindi
 
mada kama hizi huwa nazipuuza maana najua fika 2020 CCM inashinda kwa zaidi ya 85%
True
Hizi mada ni za wavuta bangi na walevi Maana saa hizi ndio linakolea majiwendawazimu
Pathetic DNA
 
True
Hizi mada ni za wavuta bangi na walevi Maana saa hizi ndio linakolea majiwendawazimu
Pathetic DNA
Sasa nyie watu gani mnaopenda kusikia yanayowapendeza tu? Kwani kuna kosa gani taarifa hii kutolewa hapa. Inakuuma?
 
Back
Top Bottom