Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Imeandikwa wapi hii?
Huko ulipoona pameandikwa wapinzani wataungana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeandikwa wapi hii?
Hata wapinzani wote wakiungana bila tume huru ccm watashinda.Tatizo wapinzani hawapiganii kuwa na tume huru ya uchaguzi.Kwa kuweka makada wa ccm kuwa wakurugenzi unatarajia nini?Tayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.
Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.
Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Wewe inakuuma kuona wapinzani wanaungana?Huko ulipoona pameandikwa wapinzani wataungana
Kuna kaulimbiu nimeisikia inaanza kushika inasema "2020 tutamwaga pombe"Yes, ccm haitegemei wapiga kura hata sikumoja. Mtaji wa ccm ni system iliyopo
2020 TUTAMWAGA POMBE,Inategemea hao wanaounganika ni kina nani na huo muunganiko unaleta kitu gani kipya.
Kwa bahati mbaya sana wanaoungana na wale wale waliokuwa na muungano kama huo hapo awali, na bahati mbaya zaidi ni kuwa muungano wao hauleti jambo jipya, hoja zao ni zile zile.
Nimegundua wapinzani wanaogopwa sana nchi hiiInategemea hao wanaounganika ni kina nani na huo muunganiko unaleta kitu gani kipya.
Kwa bahati mbaya sana wanaoungana na wale wale waliokuwa na muungano kama huo hapo awali, na bahati mbaya zaidi ni kuwa muungano wao hauleti jambo jipya, hoja zao ni zile zile.
hata kama hakutakuwa na kura hata moja ya ccm bado ccm itashinda kwa kishindo
Kuna kaulimbiu nimeisikia inaanza kushika inasema "2020 tutamwaga pombe"
Hata bagbo alikuwa hategemei kura.sijui kama unalijua hilo.Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Endeleeni kuleta thread kama hizi tena lkiwezekana kila dakika, najua huko hakuna kuamianiana, hivyo itamkosesha raha, itamuingizia hofu, na yeye aonje radha ya hofu anayowapa tz utafikili wako ukimbizini
Kama Mrema na Lowasa ilishindikana mh sijuiTayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.