Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 694
Mwambie jiwe atafute hifadhi mapema,jeshi,police, tiss,2020 hawako naye haki itafuatwa,atashindwa na atataka kutumia nguvu ndo atatolewa yeye,yatamkuta ya Laurent Gagbo wa Ivory Coastmada kama hizi huwa nazipuuza maana najua fika 2020 CCM inashinda kwa zaidi ya 85%
Duu.anatajwa tajwa sana huyu sijui itakuaje2020 ni MEMBEEE
Hukatazwi kufikiri kuwa hata itashinda kwa 100%. Wacha watu watoe mawazo yao.kwani inakuumiza?mada kama hizi huwa nazipuuza maana najua fika 2020 CCM inashinda kwa zaidi ya 85%
Wewe ni nani mpaka useme unajua? Eti nazipuuza, sasa tumekulazimisha?mada kama hizi huwa nazipuuza maana najua fika 2020 CCM inashinda kwa zaidi ya 85%
Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Ni kweliUmoja ni nguvu
2020 ni mwisho hakuna asieumizwa na ile ya Mafao ya Kustaafu hasa Polisi imewachefua sana.Tatizo hata wakiungana CCM huwa hawategemei kura ili kuchukua dola!
Hivyo vyama ndio vitahesabu kura?
Swali Zuri sana.Hivyo vyama ndio vitahesabu kura?
uchaguzi upo 2025 na wala si 2020 soma alama za nyakati
Yes, ccm haitegemei wapiga kura hata sikumoja. Mtaji wa ccm ni system iliyopoSwali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.