Babake mwanaidi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 641
- 694
- Thread starter
-
- #21
Swali Zuri sana.
Kama tume ya taifa ya uchaguzi ndiyo watakao hesabu kura basi hamna jipya.
Tatizo hata hao wapinzani wakiungana mgombea wao anatoka ccm
You're right,kama kweli upinzani wanayo nia ya dhati ya kuing'oa CCM basi waanze na tume huru ya uchaguzi.Yes, ccm haitegemei wapiga kura hata sikumoja. Mtaji wa ccm ni system iliyopo
Kweli kabisaKinachohitajika zaidi ili kuangusha ccm siyo muungano wa vyama, ni uchaguzi huru tu. Kura zikipigwa na kuhesabiwa kwa haki ccm inafurushwa asubuhi na mapema
Hilo halina shaka kabisa,CCM ni wezi wa kura.Kwanini hakuna jipya? Ina maana CCM wanaiba matokeo kwanguvu kwa kutumia tume ya uchaguzi? Tusidhani hivyo
Unadhani wapinzani wafanyaje ili kupata tume huru ya uchaguzi?You're right,kama kweli upinzani wanayo nia ya dhati ya kuing'oa CCM basi waanze na tume huru ya uchaguzi.
Ccm haihitaji kura zenyu ili itangazwe kuwa mshindiTayari mikakati imekwishaiva. Vyama vya upinzani bila kujali itikadi zao pamoja na Vigogo kadhaa kutoka Chama Cha Mapinduzi CCM wameshajipanga kuingia Ikulu na kuangusha utawala uliopo madarakani hivi sasa.
Nimepenyezewa habari kwamba Mipango ilianza tangu mwaka 2016 na figisufigusi wanazofanyiwa baadhi ya Viongozi wa upinzani ni katika kutaka kuwadhoofisha lakini Mipango ya kuingia Ikulu 2020 na kuiangusha CCM ipo na inaratibiwa kwa usiri wa hali ya juu na baadhi ya viongozi wa CCM, Chadema, CUF ya Maalim Seif na Chauma ya Mzee Hashim Rungwe.
Tujiandae kwa mtifuano mkali 2020.
Duu.kazi ipo 2020Hilo halina shaka kabisa,CCM ni wezi wa kura.
Zenu wakina nani?Ccm haihitaji kura zenyu ili itangazwe kuwa mshindi
Truemada kama hizi huwa nazipuuza maana najua fika 2020 CCM inashinda kwa zaidi ya 85%
Kazi+Bata.2020 ni MEMBEEE
HahahahaCcm haihitaji kura zenyu ili itangazwe kuwa mshindi
Sasa nyie watu gani mnaopenda kusikia yanayowapendeza tu? Kwani kuna kosa gani taarifa hii kutolewa hapa. Inakuuma?True
Hizi mada ni za wavuta bangi na walevi Maana saa hizi ndio linakolea majiwendawazimu
Pathetic DNA
Kwani ni kosa kuhama chama?
Imeandikwa wapi hii?Hakuna mpinzani wa kweli atakaetoka ccm. Ndio maana hata mzee lowasa sio mpinzani anacheza beat la ccm
Umbea huo