Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Lucas mwashambwa njoo fasta, Zanzibar inajitenga huku. Shikilia uzi muungano huenda usuvunjikeTimu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously"
Ujumbe huu unamaanisha nini?
View attachment 2854468
Ndio maana hata katika uuzwaji wa Bandari kwa DP world, Zanzibar walikataa huo ujinga, Mzanzibari Samia akaamua kuuza Bandari za Tanganyika kwa wajomba zake... Maana anajua yeye si mtanganyikaNimetumia google translation, asee imeniuma sana kuona Wazanzibar wanahitaji kutambulika kama nchi ya 55 barani Africa.
Hata Tanganyika mbona hataki hii ndoa sasa nani Anayenganganiza hii ndoa maana wanandoa wote hawaitaki ..Zanzibar ni kama mke, ameshakataa hataki ndoa!.... Tanganyika anamlazimisha... Hataki kutoa talaka!
bibi kaamua kama bwai na iwe mbwaiTimu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"
Ujumbe huu unamaanisha nini?
hivi wanasubiri nini hawa? kuna wakati hadi naamini wana uamsho walitakiwa waachwe tu waendelee na harakati zao. waende tu kwa amani.Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"
Ujumbe huu unamaanisha nini?
Kinakuuma nini wakati huo ndio ukweli.zanzibar ni nchi hizo nyingine ni siasa tu ndo maana huo muungano haueleweki kwasababu umeshikiliwa na siasa badala ya uhalisia.Nimetumia google translation, asee imeniuma sana kuona Wazanzibar wanahitaji kutambulika kama nchi ya 55 barani Africa.
Hivi wakisema siasa michezoni haziruhusiwi humaanisha zaidi ya hii kitu? Na Hilo Bango unaweza kuta hao wachezaji hawajui hata nani kaliandaa. But Mimi naona Wanzazibar kama kweli hawataki muungano huu ndo wakati wao.Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"
Ujumbe huu unamaanisha nini?