Kwanza uasisi wake tu ni magumashi, LISSU aliwahi kuuchambua bungeni kiundani saana huu muungano namna ulivyoasisiwa na jinsi gani ulivyo batili, hiyo video ipo Youtube.Jamani naomba anayefahamu faida za huu muungano kwa Tanzania bara au Tanganyika anifahamishe,mm uelewa wangu ni mdogo Kila nikijaribu kutafuta faida za muungano sizioni
Sio kweli kuwa wao Wana akili kuliko watanzania,jambo kubwa ni uongozi tulionao lakini pia historia ya afrika mashariki kuwa nchi moja chini ya ukoloni,Kenya ilifwnywa nyumbani kwa wakoloni hivyo paliwekezwa viwanda vingi na miundo mbinuNa wapo sahihi kabisa, mimi nikimuona mtu anajifananisha na Kenya namuona ni kama mwehu, wale wana akili kweli wala hawatuonei.
Tuna ardhu ya kutosha kwa kilimo, tuna madini takriban yote, tuna bandari, mbuga za kutosha, gas, mito ya kutosha n.k na bado hatujawafikia kiuchumi, Je hizi rasilimali wangekuwa nazo wao je au hata Kagame?
Tukubali tu kuwa sisi Watanzania CCM wameiua nchi na kutufanya tubaki hapa kwenye shimo la umasikini.
Mkuu, sisi huku akili ni nzito. Mpaka sasa embu tazama hata Demokrasia kati ya Tz na Kenye ni wapi iliyo juu? Si juzi tu hapo 2020 tukaamua kuua upinzani na mpaka sasa nchi upinzani?Sio kweli kuwa wao Wana akili kuliko watanzania,jambo kubwa ni uongozi tulionao lakini pia historia ya afrika mashariki kuwa nchi moja chini ya ukoloni,Kenya ilifwnywa nyumbani kwa wakoloni hivyo paliwekezwa viwanda vingi na miundo mbinu
Sidhani kama tunapaswa kuwa na options, huu muungano ni ufe tu moja kwa moja, ila kubwa zaidi hapo ni suala la kiusalama, ile nchi itaenda kuwa kitovu cha ugaidi Afrika Mashariki.Kuwepo na Serikali 3, yaani Serikali ya Tangayika, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Muungano ama kama hayo hayawezekani basi Muungano uvunjike
AhsanteKwanza uasisi wake tu ni magumashi, LISSU aliwahi kuuchambua bungeni kiundani saana huu muungano namna ulivyoasisiwa na jinsi gani ulivyo batili, hiyo video ipo Youtube.
Ilikuwa ni kamati ya maridhiano ya muundo wa katiba mpya, kamati ilikuwa chini ya Jaji Warioba na Spika wa kipindi hiko alikuwa Samwel Sitta.
Wameshindwa kuwekeza maeneo kama Gaza waje wawekeze ZanIbar!weeunazani viongozi wabongo hawana akili?tukimpa Zanzibar uhuru atatupita kimaendeleo ndani yamiaka Kumi tuu.waarabu watawekeza pale patakuwa kama dubai maamae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Tanganyika nayo ikidai iwe mwanachama wa 56 itakuwaje?
Kwani uongo? Kitendo cha CCM kuendelea kua madarakani ni inductor number moja ya ujinga wa watanzaniaBrother nafahamu mwingiliano wa hayo makabila ila ukweli ni kwamba wakenya wanawadharau watanzania,wanaona ni watu wasio na elimu,akili na watu maskini pia hawapo proud kuwa na ukaribu wa kimahusiano na watanzania,tafiti Hilo swala mkuu
Kwa kuwa huu ujumbe umo katika nembo ya CAF na wala sio nembo ya Umoja wa Afrika, iko wazi kuwa Zanzibar Heroes au Timu ya Taifa ya Zanzibar, inachoomba hapa ni uanachama wa CAF. Mimi badala ya kuutafsiri ujumbe huu kuwa ni "uhaini" kama mmoja alivyodai huko chini, ninaona kama ni "uchochezi uchwara" kwa kupindisha lengo la ujumbe kutoka kwenye mpira hadi shutuma za kutaka kuvunja Muungano.Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"
Ujumbe huu unamaanisha nini?
CAF nao hawajielewi wamewaruhusu nusunusu. Wameruhusu Vilabu, basi waruhusu na timu yao ya Taifa.Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"
Ujumbe huu unamaanisha nini?
Mboga mboga sijui ni kwa nini Wana ka ng'ang'ania kale kasehemu na wakati hakana faida yoyote zaidi ya hasara tuu,
Hio kitu imepigwa two in oneKwa kuwa huu ujumbe umo katika nembo ya CAF na wala sio nembo ya Umoja wa Afrika, iko wazi kuwa Zanzibar Heroes au Timu ya Taifa ya Zanzibar, inachoomba hapa ni uanachama wa CAF. Mimi badala ya kuutafsiri ujumbe huu kuwa ni "uhaini" kama mmoja alivyodai huko chini, ninaona kama ni "uchochezi uchwara" kwa kupindisha lengo la ujumbe kutoka kwenye mpira hadi shutuma za kutaka kuvunja Muungano.
Naomba hapa tujadili iwapo Zanzibar ina haki ya kuwa mwanachama wa CAF au la. Ikiwa Wana haki au hawana, ni kwa nini na kwa maslahi ya nani.
Kuendelea kuwakumbatia ni kuendelea kuiletea nchi hasara tuu wakiharibu vya watu huko Tanzania ndio inalipa na wao hawachangii chochote kwenye Tanzania na niwa baguzi Sana wale jamaaUgaidi,sunajua pale conditions zote za ugaidi zipo ni vile tu majeshi ya tanganyika bado yananguvu huko.
Mimi nipo karibu sana na wakenya na ninaishi nao vizuri tu ingawa huwa tunabishana mambo ya uchumi na utalii. Wakenya ukiishi nao nje ya Africa wanakuwa karibu sana na watanzania kuliko hata waganda na waafrica wengine.Brother nafahamu mwingiliano wa hayo makabila ila ukweli ni kwamba wakenya wanawadharau watanzania,wanaona ni watu wasio na elimu,akili na watu maskini pia hawapo proud kuwa na ukaribu wa kimahusiano na watanzania,tafiti Hilo swala mkuu