Mambo mengine hayana mantiki kabisa. Miaka yote hii DVDs zimeuzwa kama nyanya, watu wamefanya makongamano nchi nzima ya kuhimiza kuua Maaskofu, Mapadre na Wachungaji. Police na Usalama wa Taifa walikuwa wapi? Hii yote ni mikakati yenu watawala ya kutaka kuislimisha nchi lakini sasa hata nyie mmejua mmekwama! Ndo mnaanza kujifanya kukamata wauza DVDs. Acheni utoto. Wenyewe mmefinance makongamano na kuyarusha kwenye TV na Radio zenu.
Now you pretend to be serious.. tumejua janja yenu .... hamtatudanganya tena... ngoja muone nguvu ya umoja wetu. Hamtaamini...