mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 241
wafungwe hao wachochezi wa kidini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakataze zisiwe youtube lakini ivi ivi tutazisambaza sana tuwafungwe hao wachochezi wa kidini
wakataze zisiwe youtube lakini ivi ivi tutazisambaza sana tu
Mambo mengine hayana mantiki kabisa. Miaka yote hii DVDs zimeuzwa kama nyanya, watu wamefanya makongamano nchi nzima ya kuhimiza kuua Maaskofu, Mapadre na Wachungaji. Police na Usalama wa Taifa walikuwa wapi? Hii yote ni mikakati yenu watawala ya kutaka kuislimisha nchi lakini sasa hata nyie mmejua mmekwama! Ndo mnaanza kujifanya kukamata wauza DVDs. Acheni utoto. Wenyewe mmefinance makongamano na kuyarusha kwenye TV na Radio zenu.
Now you pretend to be serious.. tumejua janja yenu .... hamtatudanganya tena... ngoja muone nguvu ya umoja wetu. Hamtaamini...
Mbona huku mitaani tandika, buguruni, yombo, mbagala na manzese. Hizo cd zipo daily na vijamaa vinavyouza wamevalia kanzu chakavu na vipedo