Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.

Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.

Karibuni kwa maswali.
Mwaisaa kanali Kunde umeniwahi, na mimi ningebadili ID na kujiita Muuza Madafu wa Ikulu[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20240428-170551.jpg
 
Back
Top Bottom