kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Apr 30, 2024 #101 duuuuuh ubinadamu kazi
Muuza madafu wa Ikulu JF-Expert Member Joined Feb 21, 2024 Posts 1,277 Reaction score 2,888 Apr 30, 2024 Thread starter #102 kipanga85 said: duuuuuh ubinadamu kazi Click to expand... Sawa ila yule sio mimi.
D drlee_tz New Member Joined Apr 29, 2024 Posts 2 Reaction score 2 Apr 30, 2024 #103 Kila nikikumbuka kauli ya "Mkija bila guard nagawa wastani kwa idadi" hapo ndio naelewa kabisa kuwa madafu yalikuwa yanauzwa na wauzaji wa mchongo 😂😂
Kila nikikumbuka kauli ya "Mkija bila guard nagawa wastani kwa idadi" hapo ndio naelewa kabisa kuwa madafu yalikuwa yanauzwa na wauzaji wa mchongo 😂😂