Lightysh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 434
- 1,551
Usanii mwingi sanaHao ni mtu mmoja wasituchanganye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usanii mwingi sanaHao ni mtu mmoja wasituchanganye
Sio kosa ila yule sio mimi.Kwani ukiwa wewe kuna shida gani ?
Kwani kuuza madafu baada ya kazi zako ni kosa ?
Acha uzushi, hakuna usanii na yule sio mimi.Usanii mwingi sana
Ndio bongo yetuUsanii mwingi sana
HahaaAcha uzushi, hakuna usanii na yule sio mimi.
OkSawa ila mi sio Komando
We nae tuliaUsilazimishe. Yule sio mimi.
Situlii wakati mnanizushia.We nae tulia
Waache kunizushia.Hahaa
Sawa chifuSitulii wakati mnanizushia.
Mfate mwenzio mpigie picha ya pamoja ndio tutaacha uzushi.Waache kunizushia.
Mi sio chifu ni muuza madafu tu pale Ikulu.Sawa chifu
🤣👐Mi sio chifu ni muuza madafu tu pale Ikulu.
Nakufahamu tulikuwa wote Ngerengere! Nitakutaja kwa Jina! Unawaficha nini? Siku ile mlifanya uboya sana!Sawa ila mi sio Komando
Sawa mkuuMi sio chifu ni muuza madafu tu pale Ikulu.
Sijawahi salimia mtu jambo afande. Nimecheka sa.aKwanini nilipokuja pale wizara ya fedha kumuona rafiki yangu nikanunua dafu,pikipiki ya polisi ikapita ukamsalimia jambo afande.Hiyo salamu ulijifunzia wapi?
Delivery hujajibuNdio, ninayo.
Sorry nje ya mada.Usanii mwingi sana