Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

Mtafute komandoo mpige picha ya pamoja kisha utuonyeshe hiyo picha
 
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.

Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.

Karibuni kwa maswali.
Mwaisaa kanali Kunde umeniwahi, na mimi ningebadili ID na kujiita Muuza Madafu wa Ikulu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…