Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Aliekatwa ndude ni teves
Kisa kadhulumu poda ya watu hukoo sauz

Nimeambiwa kuwa jamaa ( tevez) hajakatwa kikojoleo bali amepasuliwa jicho, picha inayoonyesha damu kuonekana kwenye "taret" not target ni damu kutoka kwenye jicho.
 
mtafuteni Iman Madega mwenyekiti wa zamani wa Yanga ni mdogo wake kabisa atawaambia kama ni ukweli au ni uzushi maana juzi walikaa kikao cha familia pale magomeni alipokuwa akiishi Beker zamani hiyo nyumba kaifanya ni ofisi utawakuta raia wa Nigeria na Senegal wamejaa hapo huwa nashindwa kuelewa jamaa wanabiashara gani nae
 

Beka ranger ndiyo yule mwenye duka la ving'amuzi pale magomeni mapipa pale karibu na chipolopolo au?
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy tafadhali rejea kwenye mada sasa maana tumekwishathibitishiwa kuwa ni kweli beka amekamatwa na yupo kwenye gereza nchini cuba.

Kakamatwa Cuba au USA? maana Cuba hawawezi kumweka Guantanamo bay, hiyo ni jela ya Wamerekani.

Na kama kama kawekwa Guantanamo kama inavyosema post namba moja basi huyo atakuwa kakamatwa na zaidi ya madawa.

Leteni habari sahihi si kila mtu mbumbumbu humu.
 
Kama "Then shut up" ni tusi basi MWENYEWE!!!!!!!!
Unataka kunituka kwa kidhungu huku Invisible wanaangalia, na mimi sikubali

Shut up, si tusi ni nyamaza, hususan kuongea kitu ambacho hukijuwi aka utumbo.
 
Waliokaamatwa juzi niyeye ameongozajahaazi madada wananyekambi sasa na kibosilekakamatwa
 
Shut up, si tusi ni nyamaza, hususan kuongea kitu ambacho hukijuwi aka utumbo.

FaizaFoxy acha matusi ya kirejareja, kuninyamazisha jukwaani where we dare to talk openly ni sawa na kunitusi, haujaridhika unahusianisha uandishi wangu na "utumbo"
Yaani huu huu tunaoufahamu kuwa unahifadhi maví pamoja uchafu mwingine halafu Invisible anakuangalia tu!!!!

Haya umeshathibitishiwa kuwa beka ranger kakamatwa na amepelekwa guantanamo, kati ya mimi na wewe nani kaongea utumbo aka kinyesi alias mbolea.
 
Last edited by a moderator:
Jina lake la kwenye IDs zake ni nani?

Nataka kumcheki kwenye orodha niliyonayo hapa.
 

halafu wewe mbona unakurupuka sana?
 
chezea ''easy money''...maujanja suppliers gone wrong....
 
Hii nchi imeoza mtu anakuwaje muuza madawa maarufu alafu hachukuliwi hatua!?
cc EMT Nyenyere

Ioze kiasi gani sasa, wauza unga wote ndio wanaitwa mapedejee, masuper star wetu. Raisi wetu mpendwa mwaka, 2005 alisema ana listi, tunasubiri kujua aliitumiaje mpaka leo.

Kwanini wasitambe.
 
Last edited by a moderator:

beka ni muuza madawa na hiyo inaelewwkaaa hakuna ubishi.. tunajua madega ni ndugu yake
kama beka kakamatwa akamtoeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…