Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Ukweli ni kuwa anashikiliwa huko Marekani kwa issues za money laundering na sio madawa ya kulevya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee Ma Tycoon wanazidi kuong'olewa.
-Rummy kakimbia.
-Baker kang'ang'aniwa.
-Scuba kalambishwa mchanga.
-Mwingine ndio huyo magari yake yote yapo oysterbay.
Kukamata mtu mmoja mmoja huwa siyo ishu kubwa sana katika biashara ya madawa ya kulevya, kwa maana kuwa haitibu kukomesha biashra husika, bali kuujua na kuukamata mtandao mzima ndio jambo la msingi!
Mfano, mtu kama Bake Ranger ana mtandao wake na unaweza uwe tofauti na Scuba ijapo wanaweza wawe marafiki na kushirikiana baadhi ya nyanja! Pengine mkuu katika mtandao wa Baker, bado kuna boss mkuu yupo lwo profile na bado hajakamatwa!
Najua haya kwa uhakika!
Jiwe gizani.......Umeongea pumba sijawahi kuona
Wapo pia wezi maarufu, wala rushwa maarufu, mafisadi maarufu, nk lakini hawachuliwi hatua.
Sheria za Cuba zinasemaje?
Una uhakika gani kuwa kuna Mbongo kadakwa Cuba na sembe?
Umesema habari za kudhibitisha au kukanusha zinakaribishwa meaning huna uhakika na habari yako.
Kwa hiyo badala ya kuwakosoa wale wanahoji walakini kwenye habari yako tulia.
Mkuu mbona unaonekana kuumizwa sana na habari hizi njema kwa taifa.......???Hayo siyo mapungufu madogo.
Huu mchezo ahuitaji hasira[emoji1]FaizaFoxy acha matusi ya kirejareja, kuninyamazisha jukwaani where we dare to talk openly ni sawa na kunitusi, haujaridhika unahusianisha uandishi wangu na "utumbo"
Yaani huu huu tunaoufahamu kuwa unahifadhi maví pamoja uchafu mwingine halafu Invisible anakuangalia tu!!!!
Haya umeshathibitishiwa kuwa beka ranger kakamatwa na amepelekwa guantanamo, kati ya mimi na wewe nani kaongea utumbo aka kinyesi alias mbolea.
Aisee huyo mtu amekamatwa zaidi ya miezi kumi na mitano nyuma