Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Muuza madawa ya kulevya maarufu wa Magomeni "Beka Ranger" akamatwa na polisi

Aiseee Ma Tycoon wanazidi kuong'olewa.
-Rummy kakimbia.
-Baker kang'ang'aniwa.
-Scuba kalambishwa mchanga.
-Mwingine ndio huyo magari yake yote yapo oysterbay.
 
Aiseee Ma Tycoon wanazidi kuong'olewa.
-Rummy kakimbia.
-Baker kang'ang'aniwa.
-Scuba kalambishwa mchanga.
-Mwingine ndio huyo magari yake yote yapo oysterbay.

Kukamata mtu mmoja mmoja huwa siyo ishu kubwa sana katika biashara ya madawa ya kulevya, kwa maana kuwa haitibu kukomesha biashra husika, bali kuujua na kuukamata mtandao mzima ndio jambo la msingi!

Mfano, mtu kama Bake Ranger ana mtandao wake na unaweza uwe tofauti na Scuba ijapo wanaweza wawe marafiki na kushirikiana baadhi ya nyanja! Pengine mkuu katika mtandao wa Baker, bado kuna boss mkuu yupo lwo profile na bado hajakamatwa!

Najua haya kwa uhakika!
 
Ni vyema kama unawajua tusaidie kuwataja kitu kitakachopelekea kukamatwa kwao
 
Wapo pia wezi maarufu, wala rushwa maarufu, mafisadi maarufu, nk lakini hawachuliwi hatua.
Sheria za Cuba zinasemaje?

Una uhakika gani kuwa kuna Mbongo kadakwa Cuba na sembe?
Umesema habari za kudhibitisha au kukanusha zinakaribishwa meaning huna uhakika na habari yako.

Kwa hiyo badala ya kuwakosoa wale wanahoji walakini kwenye habari yako tulia.
Hayo siyo mapungufu madogo.
Mkuu mbona unaonekana kuumizwa sana na habari hizi njema kwa taifa.......???

Iwe tetesi au umbeya au uongo lakini hizi ni habari njema kwa wastaarabu na wazazi wa taifa ambao kila siku wanapigana ili vijana wao waache madawa na kuwa raia wema......

Kama mkuu upo nyuma ya mambo haya au unanufaika na biashara hii....laaana za wazazi wote ambao vijana wao wamepoteza muelekeo kwa biashara hii zikimwagikie kama zinavyokumwagikia fedha za biashara hii haramu......
 
FaizaFoxy acha matusi ya kirejareja, kuninyamazisha jukwaani where we dare to talk openly ni sawa na kunitusi, haujaridhika unahusianisha uandishi wangu na "utumbo"
Yaani huu huu tunaoufahamu kuwa unahifadhi maví pamoja uchafu mwingine halafu Invisible anakuangalia tu!!!!

Haya umeshathibitishiwa kuwa beka ranger kakamatwa na amepelekwa guantanamo, kati ya mimi na wewe nani kaongea utumbo aka kinyesi alias mbolea.
Huu mchezo ahuitaji hasira[emoji1]
 
Back
Top Bottom