Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na polisi nchini Cuba.
Habari zimetua Deluxe bar maeneo maarufu ya Magomeni jana zinasema, Beka safari hii alikuwa amemeza kete kibao yeye mwenyewe hakutaka kumpa "punda" mzigo huo.
Habari hii ikithibitika kuwa kweli itakuwa ni faraja kwa wazazi kwani kuna watoto wanaweza kuliepuka janga la kutumia madawa ya kulevya.
Habari za kuthibitisha ama kukanusha zinakaribishwa zikiwa na maelezo ya kina kidogo.
Naomba kuwasilisha.
===============UPDATE===============
IMETHIBITISHWA
Cc. Mzee Mwanakijiji
FaizaFoxy tafadhali rejea kwenye mada sasa maana tumekwishathibitishiwa kuwa ni kweli beka amekamatwa na yupo kwenye gereza nchini cuba.
Shut up, si tusi ni nyamaza, hususan kuongea kitu ambacho hukijuwi aka utumbo.
Beka ranger ndiyo yule mwenye duka la ving'amuzi pale magomeni mapipa pale karibu na chipolopolo au?
Kakamatwa Cuba au USA? maana Cuba hawawezi kumweka Guantanamo bay, hiyo ni jela ya Wamerekani.
Na kama kama kawekwa Guantanamo kama inavyosema post namba moja basi huyo atakuwa kakamatwa na zaidi ya madawa.
Leteni habari sahihi si kila mtu mbumbumbu humu.
Beka ranger ndiyo yule mwenye duka la ving'amuzi pale magomeni mapipa pale karibu na chipolopolo au?
mtafuteni Iman Madega mwenyekiti wa zamani wa Yanga ni mdogo wake kabisa atawaambia kama ni ukweli au ni uzushi maana juzi walikaa kikao cha familia pale magomeni alipokuwa akiishi Beker zamani hiyo nyumba kaifanya ni ofisi utawakuta raia wa Nigeria na Senegal wamejaa hapo huwa nashindwa kuelewa jamaa wanabiashara gani nae