Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Huyu jamaa sometimes ni TAPELI mtu wa IRNGA alimtapeli jamaa flani 25+M jamaa kamvizia alirudi kwenye msiba kwao Jamaa anamsweka ndani hadi alipolipa hela ya watu.
 
Huyu Mwamba namkubali sana na namshukuru kwa kuleta ushindani hasa kwenye biashara ya magari.

Kwenye ushindani huu ambapo angalau anauza madungu jeshi kwa bei ya kuridhisha reasonable price ukilinganisha na show rooms zingine.

Fikiria wengine walikuwa wanauza na wanauza hayo magari kama ya Lukos kwa million 90 hadi 100 lakini mwamba anakuuzia kwaanzia million 30 hadi 50.

Na kwa siku anauza magari 10 kwa mwezi 100.

Nimesikia chuki, wivu na maumivu ya baadhi ya wafanybiashara wa magari wakilalamika na kumind kichiz.

Chris awe makini. Inabidi aende songea huko kwa wangoni akatafute mganga mahiri. Mimi namshauri atoe kafara ya mbwa [emoji38][emoji38]

Kwa ushauri azidishe kuleta range rover vogue. Sports ziko za kutosha.

Namtakia kila la heri huyu Mwamba na mpambanaji Chris Lukos na mwanajamvi mwenzetu. Alikuwaga active sana jamvini 2013-2015 ex cop.

"Na kwa siku anauza magari 10 kwa mwezi 100."
 
WaTz tujenge mazoea ya biashara hutia, na kuachana na ushirikina.
 
Kafungua watu akili hawezi kubaki kama monopoly wengi waleta hizo damping mda sio mrefu, yeye kinachombeba ni waminifu na kua na fair game, kitu ambacho wa bongo wengi hawana....kwa hilo ataendelea kupiga pesa ila mimi simuoni miaka mitano injao na muona katika bunge la CCM
Sasa huko kwenye siasa ndio atapotea mazima.

Maisha ya kulisha machawa wa kukuletea umbea kila siku si sahihi kwa mtu ambaye tayari umeshasimama kwa miguu yako
 
Back
Top Bottom