Muuza magari Chris Lukosi awe makini

Wivu wa Nini Sasa yeye anauza used za UK Hawa wanauza used za Japan mbona biashara mbili hazifanani.
Gari za UK hata ukiuziwa Bei ya IST still Kama huna pesa utapaki tu kwa ishu ya mafuta na spare
Unanikumbusha Mwanajeshi mmoja afisa alinunua gari la kutembea Volvo, baada ya kustaafu kazi akawa analipaki tu.
Mwisho aliamua kuliuza, rafiki yangu alilinunua kwa Tsh. Laki tano tu.
Linakunywa mafuta kama limetumwa vile.
 
Unampigia promo au sio
 
Hongera zake!
 
One of the best interview. Safi sana Lukosi. Uko vizuri. Vijana wana mengi ya kujifunza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…