Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Cantalisa, King'asti na Husninyo................marufuku kuchangia huu uzi..................Nikiwaonaaaaaa!
Wakwetu hata angeweka ulinzi wa mgambo wa jiji lzm ningetia maguu!jaman nyie huyu mdingi wetu ni noumer!kumbe alishawahi kuwa bruc lii!ukinionea dada angu king mwambie aje mbio mdingi kamwaga radhi huku!
We endelea tu, habari yako utaipata nyumbani......................Mtoto hujui la mwadhini wala la mnadi swala!
Khaaaaa!hv hapa pananihusu?Asa baba,napenda kujua pale ulipojifanya bruc lii ina maana ulitaka kweli kuaplai ubruc lii bila mafunzo hayo au ulitaka kushusha mkwara ili mabaunsa wakuachie!hahahahaha!cpati picha baada ya kichapo ulivojutia ule mkwara wako lol!
Na wewe umo tu, kuupigia chapuo huu uzi......... Angalia watakuponza hawa wanangu............................hahahah! Na suruali yake ya dingris plus mwendo ka chekibob......la la laa yaani kama namuona vile dogo akijikoki enzi hizo!! King'asti hacheleweshi, sasa hivi utamuona kaibuka!
hahahah! Na suruali yake ya dingris plus mwendo ka chekibob......la la laa yaani kama namuona vile dogo akijikoki enzi hizo!! King'asti hacheleweshi, sasa hivi utamuona kaibuka!
Hahahahaha!namuimajin hapo kapiga na kishati chake cha juliana kichwan ana kapero mfuko wa nyuma wa surual katundika bonge la henkachifu,mwili katipaka vile vimafuta vya yolanda ananukiaje!mdingi noumer!
Sasa wewe unatarajia nikujibu nini hapo................! Umbeya tu.............Mtu wa bushi atajua staili za Bruce Lee bana! ule ulikuwa ni mkwala na sikujua kuwa ni Dar
Na wewe umo tu, kuupigia chapuo huu uzi......... Angalia watakuponza hawa wanangu............................
Kwani hujui kuwa nimewapiga Karantini kuchangia mada zangu humu JF.
Hahahahaha!namuimajin hapo kapiga na kishati chake cha juliana kichwan ana kapero mfuko wa nyuma wa surual katundika bonge la henkachifu,mwili katipaka vile vimafuta vya yolanda ananukiaje!mdingi noumer!
utakuwa mtunzi wa hadithi jaman mtambuz maana iz headin zako duuuh!
hahahahaha.
Hahahahaaaaa ivi ulishawahi msimulia mama ngina??
Hahahahahaha!!!!Maswali yako na wewe..................Si ili niende naye kuangalia sinema ya Bruce Lee........................!
Yani hujakosea,hebu pata picha alikuwa anadundikaje akitembea!hahahahahaaa.......mbavu zangu chache mie!! Ningejua kabila la mdingi wenu ningemgelezea hadi kuongea! Dah....huyu dingi nuksi kweli, uskute alikuwaga handsome wa kijiji ndo maana alijiamini sana!!
Kwaa kwaaa kwaaaa!Wewe hunitakii mema, hivi naanzaje kumsimulia mama Ngina hizi Pumba ninazoweka humu........ Si nitapigwa Karantini ya naniliu kwa miezi mitatu. Mama Ngina ni mkali nyie acheni tu, jeuri yangu yote inaishia humu humu na ndio maana hawa wanae watatu humu wananiumiza kichwa.....................
Hivi bado unamkumbuka huyo Glady wa watu.................unajua ninamuheshimu sana huyu dada.................haki ya Mungu vile, amekuwa dada yangu wa hiyari.Hahahahahaha!!!!
Baba mbona hukuchagua wavulana lol!
Ndio maana hilo liliposhindikana uliporudi kwa mara ya pili ukamchungulia Glady na kuona UTUKUFU wake,teheeee,teheeee!
we mwana we mbona humuelewi baba ako!??Hahahahahahaaaa!shikamoo baba!hahahaha!ngoja nimalizie kucheka kwanza narudi baba,kwan cjaona kbs hilo katazo lako lol!