Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hujakosea,hebu pata picha alikuwa anadundikaje akitembea!
Unajua hata siku hizi huwa anaswaga zake matata na hiyo mawan anavohangaika nayo mpaka huwa tunasema huyu mdingi enzi zake mbona mabint walimkoma!!!
Hahahaha,nashindwa kuizoea hii sred kwa kweli,
Ukinionea dada yangu husni huko mwambie mdingi kaharibu huku alafu kachimba mkwara lol!
fais nataman sana nimwelewe but hajanielewesha atii!we mwana we mbona humuelewi baba ako!??
Mmezowea kunichuna ninyi, na sasa nimewashtukia..................nasema mnikome kabisaaaaaaa.................................!fais nataman sana nimwelewe but hajanielewesha atii!
Kuna siku tulishamwambia tukiwa na dada yangu kin'ast kuwa aongee nasi kwa hisani ya watu ..............,ili aturekebishie mambo yet hata kwa mpesa ila ndo hataki nimejikuta simwelewi tu!!!! salama lkn mpnz?
Hahahaha!Aiyaaaaa.....................Balaa gani hili sasa! We mtoto mbona unaninyima usingizi mwenzio. Sasa nitabadili ID yangu na wala hamtanijua wewe na wenzio.
Hahahahahaha!Enzi zangu kwa kweli nilitingisha sana, unajua zamani ukivaa mawani la lenzi nyeupe halafu ukiongea maneno mawili kisha unatumbikiza neno moja la kiingereza, hata kama halihusu, unaonekana msomi uliyetukuka na vibinti vya mtaani vinajigonga kweli. jamani huu uzee huu............................ unakutana na kabinti ka uswahilini kisha unakaambia, You know me eh! I mind you very much thank you.............' hapo unakuwa umemaliza kabisa na huhitaji msamiati mwingine kukatongoza. Na kama kuna kajamaa kanajidai kushindana na wewe katika kukawania hako ka-binti unakachimba mkwala kwa kukaambia mbele ya hako kabinti, 'You njuka, dont follow follow me, you cant me kabisa.................' kajamaa kananywea na wewe inajichukulia mzigo kiulaiiini
Cantalisia, King'asti na Husninyo................marufuku kuchangia huu uzi..................Nikiwaonaaaaaa!
heehee hao ndo viboko vyako sawa na wale mabaunsa waliokutandika na kukufanya urudishwe shamba siyo.
Hahahahahaha!!Na wewe Mamndenyi unawasifia hao wanangu.......................Nimeshawatishia kwa mlio kama wa Paka hutawaona hapa, ni huyo tu Cantalisia anajifanya kichwa ngumu, lakini nitamkomesha..................!
Wewe hunitakii mema, hivi naanzaje kumsimulia mama Ngina hizi Pumba ninazoweka humu........ Si nitapigwa Karantini ya naniliu kwa miezi mitatu. Mama Ngina ni mkali nyie acheni tu, jeuri yangu yote inaishia humu humu na ndio maana hawa wanae watatu humu wananiumiza kichwa.....................
Hahahahahaha!!
Baba inakuwaje unajua mda unaenda na sijaona msg yoyote ya mpesa,
Na nimeongea na mama mda si mrefu nikamwambia bina bonge la story...................................,km vp fanya mambo yaishie humu humu!!!!
Hahahahahaha!!
Baba inakuwaje unajua mda unaenda na sijaona msg yoyote ya mpesa,
Na nimeongea na mama mda si mrefu nikamwambia bina bonge la story...................................,km vp fanya mambo yaishie humu humu!!!!
Story yake inajitegemea, tena hiyo ni Nouma, lakini nataka nibadili ID Maana hawa wanangu wakuda wakijua watamwelezahahahahaaaa kumbe kujidai kote huko ukifika home unanywea??? Na bado.........ngoja alijue hilo la glady, utapigwa exile mpaka ukome nini miezi mitatu!!!!!!!!
Sasa dingi mama ngina ye ulimpataje.........ebu tudokezee kidogo.......lol!!!!
Hahahahaha,Nishambambia siku nyingi kuwa wewe umeanza kujifunza mambo ya umbea na udaku na ulishawahi kusutwan kwa matarumbeta na ngoma ya KILUGWAI..........................