Muuzaji si anajulikana………………....!

Enzi zangu kwa kweli nilitingisha sana, unajua zamani ukivaa mawani la lenzi nyeupe halafu ukiongea maneno mawili kisha unatumbikiza neno moja la kiingereza, hata kama halihusu, unaonekana msomi uliyetukuka na vibinti vya mtaani vinajigonga kweli. jamani huu uzee huu............................ unakutana na kabinti ka uswahilini kisha unakaambia, You know me eh! I mind you very much thank you.............' hapo unakuwa umemaliza kabisa na huhitaji msamiati mwingine kukatongoza. Na kama kuna kajamaa kanajidai kushindana na wewe katika kukawania hako ka-binti unakachimba mkwala kwa kukaambia mbele ya hako kabinti, 'You njuka, dont follow follow me, you cant me kabisa.................' kajamaa kananywea na wewe inajichukulia mzigo kiulaiiini
 
we mwana we mbona humuelewi baba ako!??
fais nataman sana nimwelewe but hajanielewesha atii!
Kuna siku tulishamwambia tukiwa na dada yangu kin'ast kuwa aongee nasi kwa hisani ya watu ..............,ili aturekebishie mambo yet hata kwa mpesa ila ndo hataki nimejikuta simwelewi tu!!!!

salama lkn mpnz?
 
Mmezowea kunichuna ninyi, na sasa nimewashtukia..................nasema mnikome kabisaaaaaaa.................................!
 
Aiyaaaaa.....................Balaa gani hili sasa! We mtoto mbona unaninyima usingizi mwenzio. Sasa nitabadili ID yangu na wala hamtanijua wewe na wenzio.
Hahahaha!
Wala siogopiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Tutakusoma kwa mwandiko wako,na tutakukaribisha kule kwenye jukwaa la utambulisho,
Haaahahahah!naenda kusema kwa mama,kusema.................................!

Hahahahahaha!
Kiboko yako wale mabaunsa tu!!!!
Siku hizi ukiwaibukia na kingereza hupati kitu,
Utaishia kuambiwa hivi,kingereza bila pesa ni makelele!!!!hupati kitu baba.
 
mtambuzi kwa kudundwa hujambo kila siku weye tu vipi karatee ziliishia wapi..
 
heehee hao ndo viboko vyako sawa na wale mabaunsa waliokutandika na kukufanya urudishwe shamba siyo.

Na wewe Mamndenyi unawasifia hao wanangu.......................Nimeshawatishia kwa mlio kama wa Paka hutawaona hapa, ni huyo tu Cantalisia anajifanya kichwa ngumu, lakini nitamkomesha..................!
 
kwahiyo kwa fikra zako huo mlio wa paka ndo ungewatisha hao mabaunsa....ahaahahaha!!pole wee

Kwani hujawaona wachina wakizipiga wanavyolia kama mapaka...............huo mlio unatisha, wewe hujui tu!
 
Na wewe Mamndenyi unawasifia hao wanangu.......................Nimeshawatishia kwa mlio kama wa Paka hutawaona hapa, ni huyo tu Cantalisia anajifanya kichwa ngumu, lakini nitamkomesha..................!
Hahahahahaha!!
Baba inakuwaje unajua mda unaenda na sijaona msg yoyote ya mpesa,
Na nimeongea na mama mda si mrefu nikamwambia bina bonge la story...................................,km vp fanya mambo yaishie humu humu!!!!
 
hahahahaaaa kumbe kujidai kote huko ukifika home unanywea??? Na bado.........ngoja alijue hilo la glady, utapigwa exile mpaka ukome nini miezi mitatu!!!!!!!!
Sasa dingi mama ngina ye ulimpataje.........ebu tudokezee kidogo.......lol!!!!
 
Nishambambia siku nyingi kuwa wewe umeanza kujifunza mambo ya umbea na udaku na ulishawahi kusutwan kwa matarumbeta na ngoma ya KILUGWAI..........................
 
Story yake inajitegemea, tena hiyo ni Nouma, lakini nataka nibadili ID Maana hawa wanangu wakuda wakijua watamweleza
Nitaiweka hapa wiki ijayo kwa ID hii..........................Naona Cantalisia katoa macho, wala sitaitaja hapa. Nitaku-PM kapipi wangu.........LOL
 
Mtambuzi hongera sana kwa huu uzi. baada ya kichapo na kurudisha village ndo ukawatambua wabaya wako ndio hao wadada watatu uliowataja hapo juu na wale mabaunsa ni akina nani. story nzuri sana.
 
Nishambambia siku nyingi kuwa wewe umeanza kujifunza mambo ya umbea na udaku na ulishawahi kusutwan kwa matarumbeta na ngoma ya KILUGWAI..........................
Hahahahaha,
Baba hiyo sunna!
Naomba tulilaumiane kwa hili,na mambo ya kunituliza na vocha za mia tano sitaki,
Siku ile nilipotezea,leo hata unipunguzie buku NAHARIBU TU.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…