Muuzaji si anajulikana………………....!

Washakula Chapaa, unacheza na wekundu wa msimbazi.................Ni huyu Canta tu ndiye anayenipandisha presha na mikwala yae ili apate nyingi kuwazidi wenzie.................Huyu mtoto huyuuu......... Muone vile....................LOL
hahahahah!
Sura ka babake(mtambuzi)ongeza hela ndio niipotezeee!
 
Hivi huyu mdingi huwa anawapa kweli hela ya sinema???
Mpandishie dau wangu alafu uje unipitie namie..........si utanilipia eeh???
Yani ni mgumu huyooo!mpaka tumbananishe kwa kutumia dhambi zake ndio anatoa!!
Usijali wa kwetu kituo cha kwanza kwenu,then kwenye sinema.
 
unikinipiga namwambia mama akunyime unyumba.
yaani wewe mtoto unasema kabisa hilo neno la unyumba! hiyo maneno inaitwa 'Naniliu'
Au unaweza kusema 'aninyime utukufu'
 
Leo baba Ngina unaloooo......!!!
Mwenzangu hawa watoto hawa..................yaani najuuuta hawa watoto kuijua ID yangu,l akini hii yote ni kazi ya mama yao. kawapa ID yangu kwa ajili ya ulinzi shirikishi. kila nikitaka kuweka neno hapa nachungulia kwanza kama wapo. nikiona hawapo naweka...............lakini baada ya muda tu, utawakuta hao kama wale ndege Kwelea Kwelea wanaokula mpunga mashambani................
 
Yani ni mgumu huyooo!mpaka tumbananishe kwa kutumia dhambi zake ndio anatoa!!
Usijali wa kwetu kituo cha kwanza kwenu,then kwenye sinema.

Halafu ye hajui tu......, angekuwa anawapa bila ugomvi hata msingekuwa mnamsemea!!! Nahisi anataka mtafute mafataki.....lol!!
Haina kweree mwanakwetu, zali likiitika tu we nistue!!!
 
Hahahahaaaaaaaaaaa..............nisipocheka nitakuwa nimejidhulumu!!
Wanao wanampenda sana mama yao, ukijichanganya wanakulipua. Nani anataka kulelewa na mama wa kambo usawa wenyewe huu????? lol
 
Halafu ye hajui tu......, angekuwa anawapa bila ugomvi hata msingekuwa mnamsemea!!! Nahisi anataka mtafute mafataki.....lol!!
Haina kweree mwanakwetu, zali likiitika tu we nistue!!!
Hahahahah!
Mafataki hapana,dawa yake ni kumletea wachumba mabaunsa!!!!!
Likitema tu utakuwa wa kwanza kupata habari.
 
yaani wewe mtoto unasema kabisa hilo neno la unyumba! hiyo maneno inaitwa 'Naniliu'
Au unaweza kusema 'aninyime utukufu'

Na siku ukinyimwa wewe utasurvive kweli???
hahahaaa nahisi utapauka mpaka ulimi.......na kina Ngina siku hiyo watanyimwa mpaka nauli ya daladala....lol!!
 
Hahahahah!
Mafataki hapana,dawa yake ni kumletea wachumba mabaunsa!!!!!
Likitema tu utakuwa wa kwanza kupata habari.

Yaani hapo umempatia kabisaaa, ujanja wote mfukoni tena ungewapata walewale wa zamani ndo ingekuwa poa kabisa!!

😛oa😛oa😛oa
 
Mjini shule bwana, jogoo la shamba huwika mjini likishakaa sana,sasa wewe kufika tu wataka kuwika wakati hata pango huna...!!
 
Yaani hapo umempatia kabisaaa, ujanja wote mfukoni tena ungewapata walewale wa zamani ndo ingekuwa poa kabisa!!

😛oa😛oa😛oa

Team Work at work..............naona mnafanya Conspiracy ili kunimaliza........................
 
Mtambuzi hivi kweli haya mauzi unayapata wapi. kweli wewe nimekukubali. hongera sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…