Muwasho sehemu za siri

Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap

Pole sana.

Kwanza ni muhimu ukaenda hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi ili upatiwe matibabu sahihi.

Pili angalia ulaji wako na aina ya vyakula ambavyo unatumia mara kwa mara. Hakikisha unakuwa na mbogamboga na matunda kwa wingi kwenye milo yako ya kila siku.
Pia zingatia usafi wako wa mwili na mavazi.

Kila la kheri.
 
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Niliupata huu ugonjwa nikiwa form 6 mwaka 2008 Ilboru SECONDARY, kuna creams za kupaka, zingatia ukavu na sehemu za siri kausha ziwe kavu, koga mara kwa mara
 
hii ndo ile pumbu jero ya kuwashwa ovyo?

AK-47 nayo inahitaji matunzo kama mbususu

DR Mambo Jambo toa ufafanuzi juu ya haya mambo mkuu
 
Hii ndiyo tiba yenyewe asisahau na kuoga maji ya uvugu vugu ( yasiwe baridi au moto), pia ajizuie kujikuna hata kama anahisi muwashoπŸ™
 
Oga.....

Fua boksa vaa boksa iliyokauka....

Fua taulo.....

Paka mbupu mafuta maake mpk kupukutika ni kavu.....

Then tafuta dawa km previous commenters walivyo sema
 
hii ndo ile pumbu jero ya kuwashwa ovyo?

AK-47 nayo inahitaji matunzo kama mbususu

DR Mambo Jambo toa ufafanuzi juu ya haya mambo mkuu
Ndiyo hiyo, ukicheza vibaya tu inaanza kuliwa ngozi inatoka vidonda na kuoza wakati huo ishatafuna vooz lote huku uchimbaji na kuoza kukiendelea kwa kasi .

Ukizubaa inatanua wigo na kuongeza makoloni NEWS( North,East,west n south ).
 
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Tafuta yale mafuta ya nazi ya Tanga, uwe unapaka... yaani hizo ngozi zisiwe kavu
 
Sasa ukiweka muwasho sehem za siri pekee inaondoa maana husika nakuwa kama mwanamke hao ndio wanazo sana hizi ishuu kuweka korodani/pumbu ni special sana wanaume wanajua zaidi
Mkuu si umesema zinapukutika na kuwasha? Korodani ni sehemu za siri pia

Mkuu si umesema zinapukutika na kuwasha? Korodani ni sehemu za siri pia
Pia moderator mbona PM yangu haifunguki mpaka sasa licha ya kuomba msaada mara kadhaa imegonga mwamba
 
Moderator

Mnazingua sana aisee mimi siwashwi sehem za siri ni pumbu tu zinatoa kama ukurutu na kiharufu fulani hizi sasa huo muwasho mnawashwa nyie au
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…