Dr PL
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 327
- 537
Naomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Pole sana.
Kwanza ni muhimu ukaenda hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi ili upatiwe matibabu sahihi.
Pili angalia ulaji wako na aina ya vyakula ambavyo unatumia mara kwa mara. Hakikisha unakuwa na mbogamboga na matunda kwa wingi kwenye milo yako ya kila siku.
Pia zingatia usafi wako wa mwili na mavazi.
Kila la kheri.