Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Moderator
Mnazingua sana aisee mimi siwashwi sehem za siri ni pumbu tu zinatoa kama ukurutu na kiharufu fulani hizi sasa huo muwasho mnawashwa nyie au
Barikiwa sana mkuu mchango mzuri najua ujanisanisaidia mimi tu ni jopo kubwa watu wanaumwa the same lakin waoga hawasemi na kukejeli mimi niliyefunguka.Kimsingi kuna wengi kwa Nia njema kabisa wamejaribu kuchangia kwa lengo la kukusaidia thus good. Kuna kitu naweza changia kwa mwili wa mwanadawa eneo lolote linapoanza kutoa harufu mbaya isivyo kawaida basi mwili wa mgonjwa huyo Huwa na sumu ambazo zimepelekea tatizo hilo, hivyo wapaswa kuonana na daktari akupime kwanza aone anawezaje kukusaidia. kutumia cream kwa weza saidia kwa muda na baadae kutokea tena.
Nakupa dawa ambayo inaweza kukupa nafuu au kukutibu kabisa kama utafuata kanuni za usafi na ukaacha kula junk foods na kula matunda , mbogamboga na maji angalau Lita 3 per day.
Iko hivi chukua karafuu ya punje vijiko vitatu (chakula chakula) weka kwenye maji masafi ya moto kisha subiri yapoe. Then changanya na unga wa manjano vijiko vitano kwenye maji koroga mchanganyo huo vizuri. Tumia maji hayo kujiosha angalau mara 3 kwa siku, wawezaona mabadiliko ndani ya siku tatu hivyo waweza tumia Hadi wiki (7days).
Mkumbushe kubadiri boxer kwa wakati ,nakuzifanyia usafiUgonjwa wa secondary za boarding aiseh!
Sonaderm,medivine,Clottrimazole ulizia za mwanzo mbili hizo utapata majibu ndani ya muda mfupi!!
FungusNaomba kujua dawa gani nzuri kutibu hili tatizo Korodani zinapukutika na kuwasha. Pia kutoa harufu mbaya ambayo siipendi
Nimejaribu kuoga na kujisafisha vizur lakini wap
Unaweza ukawa nazo nyingi lakini usafi sifuri,una zivaa kwamuda gani?,unazifua na kuanika zikauke,na unazipiga pasi kabla ya kuvaa?We jamaaa unazan na boksa moja mimi sio😂🤣🤣🤣🤣😂
Ufute makende ayo na pia uwe unavaa bukta zipate hewaNdio ni fungicide
Mkuu navaa siku mbili tu boxer za mazoezi ni masaa nikitoka tize nafua mkuu kwenye pasi apo ndio inshu kidgUnaweza ukawa nazo nyingi lakini usafi sifuri,una zivaa kwamuda gani?,unazifua na kuanika zikauke,na unazipiga pasi kabla ya kuvaa?
Pendelea boxer zisizo hifadhi jasho ,loose na zinaweza kupiga pasi baada ya kufuaMkuu navaa siku mbili tu boxer za mazoezi ni masaa nikitoka tize nafua mkuu kwenye pasi apo ndio inshu kidg
Sawa Kwani Vilivyo Oza HaviliwiAcha
Tamaaa mkuu utakula na vilivyo ozaa