Muwazie mpenzi wako kwa mazuri, hata kwa nusu saa tu

Wengine tunasolve mikesi kila siku apo ni mtu kafukunyua simu usiku kakuta nachati na pisi bora ata ingekua demu wangu🤣 chats zenye za kawaida tu. Adi utelezi nimenyimwa usiku🥲 apo juu nimefuta mameseji mengi ya lawama😂
Screenshot_20230408-155832.png
 
Wengine tunasolve mikesi kila siku apo ni mtu kafukunyua simu usiku kakuta nachati na pisi bora ata ingekua demu wangu🤣 chats zenye za kawaida tu. Adi utelezi nimenyimwa usiku🥲 apo juu nimefuta mameseji mengi ya lawama😂
View attachment 2580932
Wewe jamaa nawe unakuwaga na misala kwenye mapenzi 🤣🤣🤣 vipi wale mamanzi wako walishajifungua?
 
Back
Top Bottom