Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Hii ndio roho ya Koffi... Anakaita Didi Stone... Kamuimbia nyimbo kadhaa mojawapo ni ile ya Si si si[emoji2]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi alikufa na nini?
Alikufa 2007, alikuwa kwenye maandalizi ya kushoot video yake ya mwisho kwenye album yake aliyoitoa 2006..alicollapse akakambizwa hospitalini then akafariki kesho yake asubuhi[emoji24] ...ananifurahisha sana kwenye wimbo wa vice versa ambapo alikuwa anawasema vijana wa sasa ambao wanapenda kudate na wanawake waliowazidi umri ila cha ajabu na yeye alipata mwanamke mkubwa kiumri akampiga ndoa ya chapu kule Mombasa[emoji2]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kinshasa makambo maana ake ni nini?
Makambo ni neno pana sana kilingala... Linamaanisha suala, matatizo/shida... Ni wingi wa neno Likambo na nyimbo nyingi za DRC huwezi kosa hilo neno. Mfano
Madilu System kwenye wimbo wake wa Sansa ya Papier aliuliza, “Likambo nini Nzambe asala biso mibali tosalelaka basi…?” Akiwa anamuuliza Mungu kwanini aliumba wanaume wafanye kazi huku wanawake wanaenjoy matunda yao[emoji2].. Kwa kuongezea kidogo tu Mibali ni wanaume kwa wingi na Mobali ni kwa umoja yaani mwanaume.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Heee li madilu linajua asee[emoji849][emoji849][emoji15]

Kuna kitu kinaitwa" FAUTE YA VISA"ni balaaa

Mkongo aje anitafsirie baaasi[emoji26]
Huyu ni mwamba haswa... Ndio maana Franco alikuwa anampenda sana although alikuwa back vocal kwenye band yake ya T.P.O.K but baadae aliimprove... Na baada ya kufa kwa Franco 1989 band ilisitisha kufanya muziki kwa mwaka mzima na waliporudi Madilu ndio alikuwa kiongozi wa band hiyo.

Hiyo Faute ya Visa to cut story short...unakutana na mtu katika nchi ambayo unahitaji visa kabla ya kwenda. Mtu ambaye unakutana naye au mtu anayekabiliana nawe hataweza kukutana nawe tena nyumbani. Mtindo wa maisha unayoishi na mahali unakokwenda sio ya viwango vyake. Watu ambao walimpa visa hawajui kwamba atakuwa akisababisha shida huko alikoenda. Madilu unaposema Faute Ya Visa, analaumu ukweli kwamba mtu huyu asiyejali pia alipewa visa. Madilu anajikuta katika nchi ambayo hawezi kufanya mengi.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Oops thank u Darling[emoji8][emoji8]
 
Waooow! Mkuu we ni mcongo?

Iko vizuri
 
Weeeee[emoji1][emoji1]

Nae mara ghafla akawa mariooo?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]

Binadamu ni kiumbe anayependa kuona kasoro za wenzie kuliko zake
 
Ni kweli eti alikuwa akioza anakuwa funza, mke anafagia ndio hela hizo

Alikuwa mshirikina eti sana
 
Walitoa album ya pamoja mwaka 1996 wake up ndio jina la album na wimbo no. 1...mimi naupenda wimbo no. 4 mi amourView attachment 1660044

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hawa nao walikuwa mabest nashangaa koffi Olomide hakuhudhuria msiba wake[emoji15] urafiki huu

Halafu mbona kuna yule mbibi amehojiwa juzi Kati anasema koffi ni kaka ake!

Ila mi naamini kwa sababu yule mbibi kafanana na yule baba ake koffi hivo hivoo,sema koffi hampendi yule mzee coz hajamlea, kakomaa na babake bandia wa paris[emoji1]
 
Kananipa michongo ya france sasa sijui katanichomoa[emoji15][emoji15][emoji848]

Kananikubali balaa tatizo kila kitu " I ll organize with my dad

Dad this dad that[emoji57][emoji57]

Hapo tu ndo kanaponiboa, mi nakapa michongo ya maana kenyewe kanaendekeza ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…