Sana ila inayoburudisha zaidi ni Gate le coin[emoji23] jamaa alikuwa mtundu sana enzi zake, naona hazeeki mpaka sasa yupo vile vile, humo naikubali Fifi na Manon zimetulia zaidi
Hahahhaha nakubali nakubali... Ila kwa Madilu nakataaaaKwa franco ni kweli mkuu
Mi naangalia last interview yake brussels ameisha kinoma,yule alikuwa mzee wa totoz hilo halina ubishi
Carolina[emoji23] jamaa alikuwa mtundu sana enzi zake, naona hazeeki mpaka sasa yupo vile vile, humo naikubali Fifi na Manon zimetulia zaidi
Yule madilu ushirikina umemuuaHahahhaha nakubali nakubali... Ila kwa Madilu nakataaaa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Carolina
Kwa franco ni kweli mkuu
Mi naangalia last interview yake brussels ameisha kinoma,yule alikuwa mzee wa totoz hilo halina ubishi
Yule mzungu wake ananiachaga hoi sana... Lilikuwa tall afu miuno ya kizazii sanakwenye video ya carolina viuno vimemwagwa balaa[emoji23]
No kako vizuri pia englishYeap... However she's so sociable... Kama upo nae vizuri use that walau Kifaransa na Kilingala upate hapo kitu if hutofanikiwa kufanya nae major project
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Not true pia... Issues za ushirikina zilisumbua sana as zilihusishwa na mafaniko ya wasanii hasaw wale wakubwa... Unajua wimbo wako wa wake up ulikuwa unahusu nni?Yule madilu ushirikina umemuua
Anategemea waganga kuliko Mungu
Huu wimbo mtoto wangu anaupenda balaa hasa pale awilo anapofunua koti na kukatika[emoji1787][emoji1787]kwenye video ya carolina viuno vimemwagwa balaa[emoji23]
Ni muda mkuu... Ona hata mzee Bozi Boziana anaforce kurudi ila game linamkataayeah hiyo nayo ni pini mkuu, jamaa sijui kwanini siku hizi kashuka ki muziki
Wake up ? Yupi sasa huu si wa wembaNot true pia... Issues za ushirikina zilisumbua sana as zilihusishwa na mafaniko ya wasanii hasaw wale wakubwa... Unajua wimbo wako wa wake up ulikuwa unahusu nni?
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Yule mzungu wake ananiachaga hoi sana... Lilikuwa tall afu miuno ya kizazii sana
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Muelewe tu mkuu... Wenzetu wana parenting flan ya kipekee tofauti na kwetu... Nje ya Paris lazima atoke na baba yakeNo kako vizuri pia english
Kanataka kuja huku mwezi wa nne ale pasaka home, tuchonge deal zetu ila eti kanakuja na babaake[emoji848][emoji848][emoji57]
Mama zima kufatana na wazee kila kona
Hahahahha hatar aiseee.... Tukubali tu kuwa wale si wenzetu kimzik na kiburudanhahahaha, jamaa alijua kuchagua video queens wakali sana.sasa funga kazi ni pisi moja ipo kwenye wimbo wa loketo ,ni nyeupe mpaka sio powa
Huyu mzee hajui kitu. Sorry to say this[emoji36]Ni muda mkuu... Ona hata mzee Bozi Boziana anaforce kurudi ila game linamkataa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
No kako vizuri pia english
Kanataka kuja huku mwezi wa nne ale pasaka home, tuchonge deal zetu ila eti kanakuja na babaake[emoji848][emoji848][emoji57]
Mama zima kufatana na wazee kila kona
Sawa mkuuMuelewe tu mkuu... Wenzetu wana parenting flan ya kipekee tofauti na kwetu... Nje ya Paris lazima atoke na baba yake
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app