Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Ike wa " eeh kumaa kukeleee"

Huo mkali balaa

Defao kawa zombiii[emoji79][emoji79]

hapana upo mwingine ila hata uo ni mzuri pia, Jamaa ujanani alipendeza sana ila sasa hivi anatisha, alafu kumbe anagonga kiswahili nilimsikia juzi kati
 
hapana upo mwingine ila hata uo ni mzuri pia, Jamaa ujanani alipendeza sana ila sasa hivi anatisha, alafu kumbe anagonga kiswahili nilimsikia juzi kati
Duuuh,Hawa si wanajichubua!

Last month nilikuwa Lubumbashi, wacongo wanapenda bata asee!

Taa zinaongozwa na skeleton, asubuhi asubuhi wako wako bar wanapiga ulabu huku wamepiga ming'ao ya kufa mtu, ila wanapenda watanzania Sana

Nilipata na mchepukoo[emoji23][emoji23][emoji23]( joke )
 
Hawa jamaa ucharazaji wao wa gitaa la solo tu mi huniacha hoi. Ukiwakuta Dali Kimoko na Diblo Dibala wamewasha moto gitaa linalalamika lazima tu utaamka ucheze hata kama una homa [emoji16][emoji16]
View attachment 1660667

Diblo dibala alikuwa anakata viuno balaa yule mzee[emoji23], ukiacha gitaa kwenye utunzi alikuwepo mzee simaro lutumba “Massiya” ndiye ametunga ngoma nyingi za Ok jazz kama vile “liwa ya bowule”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…