Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Duh kweli amekwisha yaani anawaimbia nyang'au?

Kwahiyo Congo hapati airtime tena?
Kweli wakati ukuta.
Hivi why Congo man wanapenda kujichubua petit?

congo kuna vijana wamechipukia sasa hivi ni balaa ,wazee waliopo kwenye game ni well talented kama kina koffi
watu hujichubua kwa sababu ya kutaka kupendeza hii ndio sababu kubwa yani kutaka kuwa presentable ndio mana unamuona mtu kama Nyoshi anajali mno kupendeza
 
Pisi kali zilikuwa zinampa K buuuree bila hata shilingi[emoji848]

Ovyoo kabisa, kuambulia umeme na huku hujala hela zake kisa shobo dundoo

Hata koffi ana huu mchezo, k za bure[emoji1751]
Nyimbo zao nyingi ni za starehe... Angalia clip ya wimbo wa Madilu RTC Riva uone limama la kizungu linavyompakata kama yai[emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
congo kuna vijana wamechipukia sasa hivi ni balaa ,wazee waliopo kwenye game ni well talented kama kina koffi
watu hujichubua kwa sababu ya kutaka kupendeza hii ndio sababu kubwa yani kutaka kuwa presentable ndio mana unamuona mtu kama Nyoshi anajali mno kupendeza
Huyo nyoshi badala ya kupendeza kageuka kuwa zombiii[emoji23][emoji23]

Wakongo kwenye mkorogo ni big no coz wana ngozi ngumu kama kokoto
 
hahaha sijawahi kumuona live, kumbe naye katisha, hata hivo ana umri mkubwa hakosi miaka 45
 
unajua ukiwa mwanaume kukataa k ni ngumu sana, it takes a strong man kukataa K nzuri, kuna wanawake wazuri aisee jamani
nasikia koffi anakula cindy, ile nayo ni pisi sio mchezo
Sasa usipojua kuzuia nyegeee, kwa kukataa K hapo lazima usande[emoji848] ngoma nje nje!

Cindy kabayaa sema utall na sauti sijui ndo mopao kazimikia hicho,[emoji848] na kamzalisha

Koffi ana watoto kama wootee, kuna hadi yule choko alizaa na mzungu toto linafanana na koffi hivo hivo hadi mmpua, kasoro rangi tu na nywele
 
mkuu, na tako cindy analo kwa mbali[emoji39]
huyo mzee basi anakula maisha sana aisee
 
Pisi kali zilikuwa zinampa K buuuree bila hata shilingi[emoji848]

Ovyoo kabisa, kuambulia umeme na huku hujala hela zake kisa shobo dundoo

Hata koffi ana huu mchezo, k za bure[emoji1751]
Wee....acha hizo mambo, Tshala Muana na Mbilia Bel wamewafaidi sana hao wazee na bado wapo

Kumbuka Mbilia Bel alikuwa na Tabu Key na Tabu Ley hakufa kwa Ngoma alisettle na Bel,

Hao wamama walipokuwa wasichana walikuwa wazuri sana wa sura, nyonga laini na Sauti ndio usiseme.

Mimi kweli kama Mwanaume nasema kabisa nisingeweza kuwa kauzu kwa Tshala Muana.
 
Lakini mbona jamaa lilikuwa na kipaji sana
Sauti ya kiboss sana lilikuwa linaimba nyimbo za slow Kali sana
Wacongo wanalogana sana hasa mambo ya nyota

Imagine hii juzi Kati nimeenda kule kikazi, kitaa nikakutana na mmaza hivi ananiambia eti mume wangu ananiloga na anataka kuniua so anipe dawa ya kutegua tego...nikamwambia maza acha ungese basi[emoji848]
 
congo kuna vijana wamechipukia sasa hivi ni balaa ,wazee waliopo kwenye game ni well talented kama kina koffi
watu hujichubua kwa sababu ya kutaka kupendeza hii ndio sababu kubwa yani kutaka kuwa presentable ndio mana unamuona mtu kama Nyoshi anajali mno kupendeza
Nyoshi bhana ana majigambo sana
 
Back
Top Bottom