Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Duh kweli amekwisha yaani anawaimbia nyang'au?
Kwahiyo Congo hapati airtime tena?
Kweli wakati ukuta.
Hivi why Congo man wanapenda kujichubua petit?
Nyimbo zao nyingi ni za starehe... Angalia clip ya wimbo wa Madilu RTC Riva uone limama la kizungu linavyompakata kama yai[emoji1787][emoji1787]Pisi kali zilikuwa zinampa K buuuree bila hata shilingi[emoji848]
Ovyoo kabisa, kuambulia umeme na huku hujala hela zake kisa shobo dundoo
Hata koffi ana huu mchezo, k za bure[emoji1751]
Huyo nyoshi badala ya kupendeza kageuka kuwa zombiii[emoji23][emoji23]congo kuna vijana wamechipukia sasa hivi ni balaa ,wazee waliopo kwenye game ni well talented kama kina koffi
watu hujichubua kwa sababu ya kutaka kupendeza hii ndio sababu kubwa yani kutaka kuwa presentable ndio mana unamuona mtu kama Nyoshi anajali mno kupendeza
Kwani mzee mafewer ilikuwa ngoma ile?
We acha tu
Kwahiyo ukiupata imekula kwakoUkimwi ndio umetuondolea hawa wazee wetu, wakati ule hakuna hata ARV'S
Huyo nyoshi badala ya kupendeza kageuka kuwa zombiii[emoji23][emoji23]
Wakongo kwenye mkorogo ni big no coz wana ngozi ngumu kama kokoto
Sema kwa hiyo avatar it resembles [emoji4]We acha tu
Kila nachofanya " we bishoo tu
Nyimbo zao nyingi ni za starehe... Angalia clip ya wimbo wa Madilu RTC Riva uone limama la kizungu linavyompakata kama yai[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Wimbo safi sana unachezeka taribu bila jasho... A real rhumba na kama unajua charanga ama salsa basi utaufaidi snaanilikua na clip fulani mmasai anaimba huu wimbo yupo kwenye vibe kama lote[emoji23]
Sasa usipojua kuzuia nyegeee, kwa kukataa K hapo lazima usande[emoji848] ngoma nje nje!unajua ukiwa mwanaume kukataa k ni ngumu sana, it takes a strong man kukataa K nzuri, kuna wanawake wazuri aisee jamani
nasikia koffi anakula cindy, ile nayo ni pisi sio mchezo
Wimbo safi sana unachezeka taribu bila jasho... A real rhumba na kama unajua charanga ama salsa basi utaufaidi snaa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Sasa usipojua kuzuia nyegeee, kwa kukataa K hapo lazima usande[emoji848] ngoma nje nje!
Cindy kabayaa sema utall na sauti sijui ndo mopao kazimikia hicho,[emoji848] na kamzalisha
Koffi ana watoto kama wootee, kuna hadi yule choko alizaa na mzungu toto linafanana na koffi hivo hivo hadi mmpua, kasoro rangi tu na nywele
Wee....acha hizo mambo, Tshala Muana na Mbilia Bel wamewafaidi sana hao wazee na bado wapoPisi kali zilikuwa zinampa K buuuree bila hata shilingi[emoji848]
Ovyoo kabisa, kuambulia umeme na huku hujala hela zake kisa shobo dundoo
Hata koffi ana huu mchezo, k za bure[emoji1751]
Da tatizo walipenda sana totoz hasa huyo madiluUkimwi ndio umetuondolea hawa wazee wetu, wakati ule hakuna hata ARV'S
Kweli kabisa mkuu... Ndio maana nilikuwa nabishana na witness kuwa jamaa hakuwa mlozi ila kipaji kwel kwelyule mzee alikuwa mtaalamu sana, Bar kalibu zote hupiga ngoma zake
Wacongo wanalogana sana hasa mambo ya nyotaLakini mbona jamaa lilikuwa na kipaji sana
Sauti ya kiboss sana lilikuwa linaimba nyimbo za slow Kali sana
Nyoshi bhana ana majigambo sanacongo kuna vijana wamechipukia sasa hivi ni balaa ,wazee waliopo kwenye game ni well talented kama kina koffi
watu hujichubua kwa sababu ya kutaka kupendeza hii ndio sababu kubwa yani kutaka kuwa presentable ndio mana unamuona mtu kama Nyoshi anajali mno kupendeza
Kweli kabisa mkuu... Ndio maana nilikuwa nabishana na witness kuwa jamaa hakuwa mlozi ila kipaji kwel kwel
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Halafu huyo mzee si mchicha mwiba?yupo anaishi Kenya, amejichubua balaa yani kawa kama mwanamke kwa kifupi ametisha sana na uzee umemuijia, siku hizi ana perform kwenye bar za kenya huko