Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Hawa jamaa kwa kweli wametamalaki sana aisee,
Ngoma zao huwa hazichoshi, unaweza kuguswa hadi kachozi ka furaha kanakukamata (sijui kama kuna mtu ameshawahi ku experience hii kitu)

Jumapili tulivu nikisindikizwa na Université yake Cindy le Coeur ft Koffi.
 
wakuu kuna ngoma wanaimba
“nalingi natobelaka libala,matata na ngayi papa ya bana”
naombeni jina lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…