Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Vipenzi karibuni tule hapa chefkile mbezi beach steak ya maana yaan...nikimaliza kula tunaliendeleza

4G LTE
luambo makiadi
Panchito
Infantry Soldier
IMG_20201227_171718_1~3.jpg
 
Hawa jamaa kwa kweli wametamalaki sana aisee,
Ngoma zao huwa hazichoshi, unaweza kuguswa hadi kachozi ka furaha kanakukamata (sijui kama kuna mtu ameshawahi ku experience hii kitu)

Jumapili tulivu nikisindikizwa na Université yake Cindy le Coeur ft Koffi.
 
wakuu kuna ngoma wanaimba
“nalingi natobelaka libala,matata na ngayi papa ya bana”
naombeni jina lake
 
Back
Top Bottom