Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Yes very close si unajua si vijana, mtaa mmoja yaan[emoji134][emoji134]

( Tena fununu zingine zikaendelea kuwa wametolewa kafara coz walipiga deal kwa mwarabu wote kwa pamoja ndo wakatolewa misukule)

Yaan hapa nimedata mweeeh[emoji26][emoji26][emoji1751][emoji134]
Aisee inatisha kwakweli..
 
Lakini huwa nawaza sometimes kwamba how it helps kupost about marehemu kwenye mitandao, sijui mimi labda niko too outdated!
We huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Hata mimi siwezi, ila huyo pilipili ana roho ngumu

Hivi nguvu ya vidole kupost picha bado kuna mgazeti anashushaga mrefuu huo sijui nguvu na muda anapata wapi? Hapo nachoka

Mda wote yuko insta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Leo kanyoa para tunaoneshwa Kila kituu
 
Yes very close si unajua si vijana, mtaa mmoja yaan[emoji134][emoji134]

( Tena fununu zingine zikaendelea kuwa wametolewa kafara coz walipiga deal kwa mwarabu wote kwa pamoja ndo wakatolewa misukule)

Yaan hapa nimedata mweeeh[emoji26][emoji26][emoji1751][emoji134]
Wity yaliyopita yamepita kukumbusha na kukufunza. Devil wants to take an advantage of what you call it stress.. Remember your targets and please stay focused on them.. I praying for you Wity.
 
We huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Hata mimi siwezi, ila huyo pilipili ana roho ngumu

Hivi nguvu ya vidole kupost anaipata wapi? Hapo nachoka

Mda wote yuko insta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Leo kanyoa para tunaoneshwa Kila kituu
Yule dish limeyumba kimtindo

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna post moja iko insta iko current alipost anatoka nduki huku anapiga nduruuu, yule mke wake akawa anamkimbiza ( alihisi amewehuka)

Jamani siku hiyo nilicheka kidogo nicer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla hata ya kuoa jamaa net ilikuwa haisomi[emoji23][emoji23][emoji23].... Ssa hivi ndio kabisaaaa

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
We huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Hata mimi siwezi, ila huyo pilipili ana roho ngumu

Hivi nguvu ya vidole kupost picha bado kuna mgazeti anashushaga mrefuu huo sijui nguvu na muda anapata wapi? Hapo nachoka

Mda wote yuko insta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]

Leo kanyoa para tunaoneshwa Kila kituu
Marehemu simuhusishi kabisa na account zangu za mitandao hata whatsapp dp simuweki. It doesn't make any sense to me, ni kumuombea dua tu ndiyo nashughulika nalo hilo basi.
 
Kuna post moja iko insta iko current alipost anatoka nduki huku anapiga nduruuu, yule mke wake akawa anamkimbiza ( alihisi amewehuka)

Jamani siku hiyo nilicheka kidogo nicer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maisha yao ya kwenye mitandao yatakuja kuwasumbua uzeeni... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri sijarejista Instagram, huwa namwona tu interview za kwenye TV. Yuko na ujinga mwingi yule jamaa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

mjanja huko ni mwijaku tu , yule ni mjinga ila huwa anajua kuficha utahira wake, ukimkuta interview za kwenye Tv utadhani ni li mtu smart sana[emoji23]
 
Back
Top Bottom