Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Aisee inatisha kwakweli..Yes very close si unajua si vijana, mtaa mmoja yaan[emoji134][emoji134]
( Tena fununu zingine zikaendelea kuwa wametolewa kafara coz walipiga deal kwa mwarabu wote kwa pamoja ndo wakatolewa misukule)
Yaan hapa nimedata mweeeh[emoji26][emoji26][emoji1751][emoji134]
Mimi ni mzee naogopa kuandika vitu vigumu humu [emoji23]Best muoga mnoo[emoji1]
Usiombe yakukuteAisee inatisha kwakweli..
Lakini huwa nawaza sometimes kwamba how it helps kupost about marehemu kwenye mitandao, sijui mimi labda niko too outdated!Usiombe yakukute
Ndo maana mi namuelewa mc pilipili japo watu wanamsema vibaya the way anavyoshinda anampost mama ake
Kanda Bongoman Tika KolelaKanda Bongoman _ Zing Zong
We huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]Lakini huwa nawaza sometimes kwamba how it helps kupost about marehemu kwenye mitandao, sijui mimi labda niko too outdated!
Wity yaliyopita yamepita kukumbusha na kukufunza. Devil wants to take an advantage of what you call it stress.. Remember your targets and please stay focused on them.. I praying for you Wity.Yes very close si unajua si vijana, mtaa mmoja yaan[emoji134][emoji134]
( Tena fununu zingine zikaendelea kuwa wametolewa kafara coz walipiga deal kwa mwarabu wote kwa pamoja ndo wakatolewa misukule)
Yaan hapa nimedata mweeeh[emoji26][emoji26][emoji1751][emoji134]
Yule dish limeyumba kimtindoWe huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]
Hata mimi siwezi, ila huyo pilipili ana roho ngumu
Hivi nguvu ya vidole kupost anaipata wapi? Hapo nachoka
Mda wote yuko insta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]
Leo kanyoa para tunaoneshwa Kila kituu
Kuna post moja iko insta iko current alipost anatoka nduki huku anapiga nduruuu, yule mke wake akawa anamkimbiza ( alihisi amewehuka)
Kabla hata ya kuoa jamaa net ilikuwa haisomi[emoji23][emoji23][emoji23].... Ssa hivi ndio kabisaaaaKuna post moja iko insta iko current alipost anatoka nduki huku anapiga nduruuu, yule mke wake akawa anamkimbiza ( alihisi amewehuka)
Jamani siku hiyo nilicheka kidogo nicer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marehemu simuhusishi kabisa na account zangu za mitandao hata whatsapp dp simuweki. It doesn't make any sense to me, ni kumuombea dua tu ndiyo nashughulika nalo hilo basi.We huwezi?[emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]
Hata mimi siwezi, ila huyo pilipili ana roho ngumu
Hivi nguvu ya vidole kupost picha bado kuna mgazeti anashushaga mrefuu huo sijui nguvu na muda anapata wapi? Hapo nachoka
Mda wote yuko insta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1]
Leo kanyoa para tunaoneshwa Kila kituu
Haya maisha yao ya kwenye mitandao yatakuja kuwasumbua uzeeni... [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna post moja iko insta iko current alipost anatoka nduki huku anapiga nduruuu, yule mke wake akawa anamkimbiza ( alihisi amewehuka)
Jamani siku hiyo nilicheka kidogo nicer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3]Kabla hata ya kuoa jamaa net ilikuwa haisomi[emoji23][emoji23][emoji23].... Ssa hivi ndio kabisaaaa
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Uzuri sijarejista Instagram, huwa namwona tu interview za kwenye TV. Yuko na ujinga mwingi yule jamaa
Sanaaa... Ana watu wake wanaumuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri sijarejista Instagram, huwa namwona tu interview za kwenye TV. Yuko na ujinga mwingi yule jamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nina nyimbo zake nne... Mmoja nilifuta juzi[emoji23] View attachment 1660905
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hahahhaa jamaa yuko vizuri sana aisee... Jamaa flan low key sana... Fatimata inachezeka kisalsasam mangwana fatimata ni ngoma kali sana, huyo jamaa inasemekana huwa hana makazi maalumu ni nomadic
Uzuri sijarejista Instagram, huwa namwona tu interview za kwenye TV. Yuko na ujinga mwingi yule jamaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa umeacha kabisa kutuletea zile story na visanga vya wakongo... [emoji4]sam mangwana fatimata ni ngoma kali sana, huyo jamaa inasemekana huwa hana makazi maalumu ni nomadic