BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kama ilivyo Kwa vizaz na vifo.watu wanazaliw na wengne wanakufaToka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina mpya za muziki zinazaliwa everyday hitsong zinaendelea kutengenezwa Kila uchwao.
Muziki hauna mwisho.View attachment 3082117
Muziki unaondoa stress..Kabisa mkuu ,napenda mziki kuliko kula ephen_ Vincenzo Jr
Kabisa mkuu mimi kwenye mziki huwa nina gharamika sana ,kwa sababu ndipo starehe yangu ilipo asee🤔Muziki unaondoa stress..