BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Toka enzi za kale muziki ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo kwa wingi wa nyimbo zilizokuwepo duniani ilibidi kusiwe na melody tena but fun facts nyimbo zinaendelea kutoka zenye melody kali aina mpya za muziki zinazaliwa everyday hitsong zinaendelea kutengenezwa Kila uchwao.
Muziki hauna mwisho.
Muziki hauna mwisho.