data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wanaume wote . Tatizo lao kubwa wanaiga sauti ya boss wao.Kuna mwanaume hapo!!??
Wanaimba kama wanaliwa
Nilikuwa bar fulani sinza napata kilaji lilipowekwa liwimbo lake nilitapika kabia kangu na sikua na hela ya bia nyingine! nilim maindi sanaWakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Mbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....
Hata lile taira la kutoboa maskio na kuongea na Wanawake kwa sauti ya 3 likiwa limelegeza macho huku linalamba lamba mdomo kama nguruwe nalo ni pumbavu tu hakuna lolote(Hemedi)
Mkuu.. wanaume wapo kazini unawaita mashoga,walahi hata baraka za mwenyezi utaziskia tu.Mbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....
Uliwatambua vip km mashoga? be gentlemanMbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....
[emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1129277
Ana sauti inachoma hiyo mpaka masikio yanauma
Nawe nae hauvumi lakini umo.
Rafiki nakumiss tu hapa!