Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Mwache afanye atakalo muhimu asivunje katiba ya nchi
 
Mwenye picha ya mtajwa hapo juu anisaidie
 
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni hemed anaimba vizur Sana ttz sijui nn
Kweli jamaa yupo vizuri ila mimi naona hayupo serious kufanya Mziki naona anaufanya kama hobby huku akili yake kaielekeza kwenye uigizaji.
 
Back
Top Bottom