Muziki wa Tanzania umeingiliwa sasa

Wakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Nilikuwa bar fulani sinza napata kilaji lilipowekwa liwimbo lake nilitapika kabia kangu na sikua na hela ya bia nyingine! nilim maindi sana
 
Kisauti cha kuwatoa nyuki kwenye mzinga.... Sio cha kuimbia
 
Ajikaze tu ipo siku na yeye atakuja kuimba nyimbo yake ya DON'T GIVE UP kama #Harmonize
 
Mbapostaajabu ya Hamisa... Em tizameni hawa mashoga....
Mkuu.. wanaume wapo kazini unawaita mashoga,walahi hata baraka za mwenyezi utaziskia tu.
Stress za life hivyo,assume ao wangekua wanao .
So sad.
 
Hata Beyonce alianza hivyo hivyo
 
Kiukweli hamisa Ile sauti anayoimbia sio kabisaaaaaaa kuimba gani kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…