ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mwache afanye atakalo muhimu asivunje katiba ya nchiWakuu Habari Jumapili, Hivi Aliemwambia HamisaMobetto Kwamba Na Yeye Anajua Kuimba Ni NAni Au Kwa Kuwa Ana Sauti Ya Kuongea Na Watu Nae Akajua Ana Sauti Ya Kuimba?
Wewe kweli chakulaKuna mwanaume hapo!!??
Wanaimba kama wanaliwa
na unakuwa pia mtangazaji wa tv au radio[emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo ukishakuwa star tu kuimba ni uamuzi wako.
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni hemed anaimba vizur Sana ttz sijui nnanaimba vizuri sana rnb
Kweli jamaa yupo vizuri ila mimi naona hayupo serious kufanya Mziki naona anaufanya kama hobby huku akili yake kaielekeza kwenye uigizaji.Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni hemed anaimba vizur Sana ttz sijui nn