Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Zamani walikua wanatumia vyombo live kutengeneza muziki..Mimi huwa najikuta nakunywa bia kwenye bar wanazopiga copy za live band za mziki wa zamani ingawa si wa kizazi hicho. Hizi ngoma zina utamu wake aisee.
HahahahZilipendwa, zinapendwa na zitaendelea kupendwa.View attachment 1327356
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama unayo hiyo binti maringo naiomba mkuu.Masoud, dunia imekwisha, binti maringo, utaachajr kupenda
Nimejaribu sana sipati blog ilioweka huu wimbo.Ninayo,, ila si idownload mkuu,
Kama kuna uzi mkuu niTAGSiyo siri hata mimi nazipenda mno nyimbo za zamani a.k.a Zilipendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app