venance7
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 558
- 1,645
Dah hizo mamou,nakei Nairobi haipiti siku sijasikiliza alafu mimi ni mtoto wa miaka ya 90 mwanzoni tu,watu huwa wananishangaa hasa vijana kwa aina yangu ya nyimbo,nakuongezea hapo ktk list yako zitafute,Vita imana,vie a zero, Kamasutra zote za ferre gora,ya Jean,nzele za madilu system.Ukiniskia naimba Nakei nairobi/ Mamou & Mario utasema nimezaliwa 70s tena naienjoy kuliko nikiskiliza Kanyaga ya diamond.. Wazee wetu walifaidi sana mziki wa zamani ni mziki unaoishi, hauchoshi kwanzia sound mpaka mashairi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app