Muziki wa zilipendwa na vijana wa kisasa

Dah hizo mamou,nakei Nairobi haipiti siku sijasikiliza alafu mimi ni mtoto wa miaka ya 90 mwanzoni tu,watu huwa wananishangaa hasa vijana kwa aina yangu ya nyimbo,nakuongezea hapo ktk list yako zitafute,Vita imana,vie a zero, Kamasutra zote za ferre gora,ya Jean,nzele za madilu system.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sansa ya papier madilu, nyimbo kina mbaraka mwinshehe[emoji23] hata mi wananishangaaga sana. Sema uzuri nina nyimbo zote mpaka mnanda. mziki nikiupenda basi hata uwe wa aina gani naimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una huu wimbo tupia hapa nami niupakuwe unanikumbusha wakati nikiwa mdogo nawaona akina kaka wanavyorekodi kwenye radio cassette
Machozi yanidondoka hohoo
Chakula hakimezeki ninaposikia
Nipeleke Arusha kwa kaka bushiri
Kupitia longido kwa shangazi mwajuma [emoji3072][emoji445][emoji449][emoji448][emoji450][emoji447]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Georgina
Shemeji, shemeji huku wazima taa
Kifo

Nikizisikiliza huwa nasema hawa wazee walikua na vipaji vizito.
 
Mziki ni feelings huwezi mrisisha mtu au kumlazimisha mtu apende nyimbo fulani alafu pia mziki unaishi hata hizi tunazosikiliza leo kunanyimbo zitaishi katika kizazi chetu.
 
Waisilamu wamekaririshwa Quran mpaka Zilipendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…