Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu.
Chanzo: ITV Tanzania
Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na Ustawi wa Taifa lolote lile duniani yanaanzia katika Kuiheshimu Sekta Muhimu na Nyeti ya Elimu.
Chanzo: ITV Tanzania
Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na Ustawi wa Taifa lolote lile duniani yanaanzia katika Kuiheshimu Sekta Muhimu na Nyeti ya Elimu.