Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,643
- Thread starter
- #21
Hahaha mimi niliyesoma 2000 nilikalia kiroba na wa 2020 anakalia kiroba. Tena hicho kiroba unakibeba kwenye begi, siku ukienda bila kiroba utamtafuta wa kukupa hifadhi.
Kipaumbele chetu kwa 2015 - 2025 ni Viwanda na Miundombinu hasa ya Ujenzi na kuhusu Elimu mtajijua wenyewe na Watoto wenu mnaowazaa.