Una utani na watanzania ww...vp madarasa yamesha jengwa tena auWanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu.
ITV Tanzania
Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na Ustawi wa Taifa lolote lile duniani yanaanzia katika Kuiheshimu Sekta Muhimu na Nyeti ya Elimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh hii kali sasa..yaan Mzee jiwe kwake Elimu haina tija bali mataluma ya leri ndo kipaumbele chake?? Ngoja waje wazee wa mapambio pale lumumba kwaya takatifu [emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ya sasa inajali sana Ujenzi wa Miundombinu pekee ili tuzidi kuwa katika Uchumi wa Kati na Sekta ya Elimu siyo Kipaumbele. Tuvumiliane!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh hii kali sasa..yaan Mzee jiwe kwake Elimu haina tija bali mataluma ya leri ndo kipaumbele chake?? Ngoja waje wazee wa mapambio pale lumumba kwaya takatifu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nawaona hv wakiupita kwa mbaali huu uzi wako...akina mgonjwa mtambuka na bia yanguHata wakija na Mapovu yao sidhani kama itasaidia kwani kama ni Jazba zao wazipeleke kwa ITV Tanzania Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi.
Mtukufu Yesu wa Kangi a.k.a jiweKama Kweli ITV wametoa hii taarifa, rugu la TCRA linawaangukia muda sii mrefu, wanampa mfadhaiko mtukufu [emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaaaSerikali ya jiwe isivyopenda madhaifu yafichuliwe
Utashangaa mwandishi aloripoti hiyo taarifa amekamatwa kwa kosa la kuichafua serikali na kubambikiwa kesi ya uhujumi uchumi juu
Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu.
ITV Tanzania
Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na Ustawi wa Taifa lolote lile duniani yanaanzia katika Kuiheshimu Sekta Muhimu na Nyeti ya Elimu.
Kama Kweli ITV wametoa hii taarifa, rugu la TCRA linawaangukia muda sii mrefu, wanampa mfadhaiko mtukufu [emoji23][emoji23][emoji23]
Serikali ya jiwe isivyopenda madhaifu yafichuliwe
Utashangaa mwandishi aloripoti hiyo taarifa amekamatwa kwa kosa la kuichafua serikali na kubambikiwa kesi ya uhujumi uchumi juu
Kaka tuchatiHivi huyo Mwandishi wa ITV Tanzania aliyeandika na kuiripoti hii Habari ya Kuwaudhi wana CCM na Watetezi wa Rais JPM bado yupo Tanzania tu?
Kama Kweli ITV wametoa hii taarifa, rugu la TCRA linawaangukia muda sii mrefu, wanampa mfadhaiko mtukufu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawezi kuja kbsKatika Taarifa zenye Ushahidi na Uhalisia kama hizi huwa hawaji na ukiona wanakuja hapa wataanza tu Kutukana ili Kuuharibu Kimantiki huu Uzi.