Hahaha mimi niliyesoma 2000 nilikalia kiroba na wa 2020 anakalia kiroba. Tena hicho kiroba unakibeba kwenye begi, siku ukienda bila kiroba utamtafuta wa kukupa hifadhi.
Tatizo mnatafuta madhaifu kuliko mazuri yaliyofanywa. Angalieni na upande wa afya na umeme vijijini kulivyowekezwa vzuri. Changamoto zitatatuliwa ila sio kwa maramoja